.

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA GEREZA KUU LA ISANGA, DODOMA

Oct 5, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mofisa wa Magereza wakati alipotembelea Gereza Kuu la Mkoa wa Dodoma la Isanga  mjini Dodoma Oktoba 5, 2016. Wapili kushoto ni mwenyekiti wa bodi ya Patole, Auhustine Mrema.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Maofisa na Askari Magereza wa Gereza Kuu la Mkoa wa Dodoma la Isanga baada ya kulitembelea Oktoba  5, 2016. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Taifa wa Parole Augusine Mrema, kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma na aliyekaa kushoto ni Mkuu wa Magereza wa mkoa wa Dodoma, SACP Kirumbi.

Waziri Mkuu akitoka kwenye gereza hilo baada ya kulitembelea.

Askari Magereza wakimsikiliza Waziri mkuu

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª