.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AUNGANA NA WAUMINI WA KIISLAMU MJINI DODOMA KWENYE IBADA YA SALA YA IJUMAA

Oct 29, 2016


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya Sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Nunge mjini Dodoma Oktoba 28, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Dua ya kuwaombea wanafunzi wote wa Tanzania wanaotarajia kufanya mtihani wa Kidato cha Nne ili wafanye vizuri akiwa katika  Sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Nunge mjini Dodoma Oktoba 28, 2016.
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam wakiomba dua mara baada ya sala ya Ijumaa ambapo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alihutubia
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam baada ya Sala ya Ijumaa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Meya wa manispaa ya Dodoma, Jafar Mwanyemba  na Sheikh Shabaan Kitila baada ya Sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Nunge mjini Dodoma Oktoba 28, 2016

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช