
Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na wakuu
wa Taasisi na Idara za wizara (hawapo pichani), wakati wa kikao cha
kujadili masuala mbalimbali ya mipango na maendeleo ya wizara. Kulia ni
Naibu Waziri Mhandisi Hamad Masauni. Kikao hicho kimefanyika leo katika
ukumbi wa mikutano wa wizara, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na wakuu
wa Taasisi na Idara za wizara wakati wa kikao cha kujadili masuala
mbalimbali ya mipango na maendeleo ya wizara. Kulia ni Naibu Waziri
Mhandisi Hamad Masauni. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
mikutano wa wizara, jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, akizungumza wakati wa kikao
cha kujadili masuala mbalimbali ya mipango na maendeleo ya Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi na Idara zake. Kikao hicho kiliongozwa na Waziri
wa wizara hiyo, Mwigulu Nchemba (hayupo pichani). Kushoto ni Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Minja. Kikao hicho kimefanyika leo
katika ukumbi wa mikutano wa wizara, jijini Dar es Salaam.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269