.

KUTOKA BUNGE LEO NOVEMBA 1, 2016

Nov 1, 2016


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa  Kawe, Halima Mdee kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Novemba 1, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wanawake kutoka bunge la Zimbabwe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 201
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wanawake kutoka bunge la Zimbabwe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mbozi  Magharibi,  David  Silinde  (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Suzan Lymo kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma
Waziri  wa Nchi,  Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama akizungumza bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Singida  Kaskazini , Lazaro Nyalandu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, bungeni mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Tarime, Ester Matiko bungeni mjini Dodoma

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª