.

TANZANIA YAKAGUA MPAKA WAKE NA ZAMBIA KATIKA ENEO LA TUNDUMA

Dec 8, 2016

Ramani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadhi ya Nchi jirani ikiwemo Zambia

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angelina Mabula akikagua eneo linalotenganisha mpaka (buffer zone) kati ya Tanzania na Zambia katika eneo la Tunduma, Kulia kwa Waziri ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Songwe  Juma Said Irando.

Naibu Waziri waArdhi, Nyumbana Maendeleo ya Makazi Dk. Angelina Mabula akifuatilia ramani inayoonesha alama za mipaka ya kimataifa kati ya Tanzania na Zambia wakati alipotembelea eneo la Tunduma mwishoni mwa wiki iliyopita, Kushoto ni alama moja wapo ya jiwe lililojengwa na Serikali ya Tanzania baada ya makubaliano baina ya nchi mbili hizo.

Naibu Waziri waArdhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akiifuatilia alama moja wapo ya jiwe la mipaka ya kimataifa kati ya Tanzania na Zambia wakati alipotembelea eneo la Tunduma. 

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช