.

WASHINDI WA TUZO ZA EATVAWARDS ZILIZOFANYIKA JANA USIKU

Dec 11, 2016

View image on TwitterKipengele cha tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kiume 2016 kimekwenda kwa Ali Kiba.Kipengele cha tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike 2016 kimekwenda kwa Judith Wambura ( @JideJaydee )View image on Twitter
Tuzo ya Heshima inayotolewa kwa mtu/taasisi yenye mchango mkubwa katika sanaa ya Tanzania inakwenda kwa Dj Bonny Love.
View image on Twitter
Tuzo ya Filamu Bora ya Mwaka 2016 imekwenda kwa filamu ya Safari ya Gwalu.
View image on Twitter
Wimbo wa Aje wa Ali Kiba umeshinda tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka 2016.
View image on Twitter
Video ya wimbo wa Aje ya Ali Kiba imeshinda tuzo ya Video Bora ya Mwaka 2016.
View image on Twitter
Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kiume 2016 inakwenda kwa mwigizaji Salim Ahmed maarufu Gabo.
View image on Twitter
Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike 2016 inakwenda kwa mwigizaji Chuchu Hans.
View image on Twitter
Navy Kenzo wameshinda tuzo ya Kundi Bora la Muziki 2016.
View image on Twitter
Mwanamuziki Man Fongo ameshinda tuzo ya Mwanamuziki Bora Chipukizi 2016.
View image on Twitter

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช