.

WAZIRI NAPE AFUNGA MAFUNZO YA BLOGGERS TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Dec 6, 2016

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye akizungumza na wamiliki wa Blogg Tanzania kabla ya kufunga mafunzo kwa Blooger hao yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Adam Mayingu akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa ufungaji wa wa mafunzo kwa Blooger Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Muda wa Tanzania Bloggers Network (TBN) Joachim Mushi akizungumza na wamiliki wa Blogg Tanzania kabla ya kumkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye kufunga mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam. 
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye akiwakabidhi baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo kadi za uwanachama za mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF katika hafla ya ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

 waziri Nape akifurahia jambona Blogger Yussuf Badi baada ya kufunga mafunzo hayo
 Baadhi ya wamiliki wa Blogg Tanzania wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye wakati wa ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

Waziri Nape akiwa katika picha ya pamoja na Bloggers

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª