Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai
Mwinyi Mohamed wakati alipowasili katika ufunguzi wa msikiti, Masjid
Muhammad (S.A.W) huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B” Mkoa wa
kaskazini Unguja jana,uliojengwa kwa usimamizi wa Bw,Yakoub Othman
mwakilishi wa Kampuni ya Al-Buwardy Tanzania,.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Msimamizi wa Ujenzi wa msikiti, Masjid Muhammad
(S.A.W) Bw,Yakoub Othman wakati alipowasili katika ufunguzi wa Msikiti
huo uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni Wilaya
ya Kaskazini B” Mkoa wa kaskazini Unguja jana.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Msikiti Masjid Muhammad
(S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni
Wilaya ya Kaskazini B” Mkoa wa kaskazini Unguja jana (kushoto) Makamo wa
Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Mhe,Balozi
Seif Ali Iddi.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
akikata Utepe fkama ni ishara ya ufunguzi wa Msikiti Masjid
Muhammad (S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni
Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B” Mkoa wa Kaskazini Unguja jana chini
ya usimamizi wa Bw,Yakoub Othman (hayupo pichani) pia
wakiwepo (kulia} Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi
Mohamed na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais katiba,Sheria,Utumishi wa Umma
na Utawala Bora Mhe Haroun Ali Suleiman (kushoto).
Sheikh
Otman Maalim alipokuwa akitoa mawaidha baada ya ufunguzi wa Msikiti
Masjid Muhammad (S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko
Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B” Mkoa wa Kaskazini Unguja
jana,ambapo umefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati waliokaa).
Waumini
wa Dini ya Kiislamu wa Kijiji cha Fujoni Mzambarauni na Vijiji jirani
wakiwa ndani ya Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W) uliofunguliwa jana
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani) ambao umejengwa kwa ufadhili wa Kampuni
ya Al-Buwardy,chini ya Usimamizi wa Bw, Yakoub Othman mwakilishi wa
kampuni hiyo .
Sheikh
Abdulkadir Imamu wa Masjid Maamur kutoka Dar es Salaam (mbele)
akiwaongoza Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Ijumaa baada ya
Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W) huko Fujoni Mzambarauni uliofuguliwa
rasmi jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) ambao umejengwa kwa
ufadhili Kampuni ya Al-Buwardy,chini ya Usimamizi wa Bw,Yakoub
Othman mwakilishi wa kampuni hapa Nchini.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu baada
ya swala ya Ijumaa jana alipoufungua Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W)
uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya
Kaskazini B” Mkoa wa kaskazini Unguja,uliojengwa chini ya usimamizi
wa Bw,Yakoub Othman (hayupo pichani) kwa ufadhili Kampuni ya
Al-Buwardy.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Bw.Samir Ayoub miongoni mwa familia ya
Msimamizi wa Ujenzi wa msikiti, Masjid Muhammad (S.A.W) Bw,Yakoub
Othman wakati alipowasili katika ufunguzi wa Msikiti huo uliojengwa na
Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B”
Mkoa wa kaskazini Unguja jana, [Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269