.

RAIS DK. MAGUFULI AREJEA JIJI DAR ES SALAAM KUTOKA ADDIS ABABA, ETHIOPIA, ALIKOHUDHURIA MKUTANO WA UMOJA WA AFRIKA (AU)

Feb 1, 2017

 Rais Dk. John Magufuli akiwapungia mkono waliomlaki, baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017
MAPOKEZI
 Rais Dk. Jon Magufili akishuka kwenye Ndege, baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017
 Rais Dk John Magufuli akisalimia wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege baada ya kushuka kwnye ndege, baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017
 Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017. Wengine ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshi la Polisi Ispekta Jenerali Ernest Mangu
 Rais Dk John Magufuli akimsalimia Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspeta Jenerali Ernest Mangu
 Rais Dk John Magufuli akimsalimia Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt Juma Malewa, baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017. PICHA ZOTE NA IKULU

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª