Breaking News

Your Ad Spot

Mar 17, 2017

RAIS DKT MAGUFULI ATATUA MATATIZO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KIJIJI CHA FUKAYOSI WILAYANI BAGAMOYO MKOA WA PWANI

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisiliza changamoto za wakulima na wafugaji katika kjijiji cha Fukayosi wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro hiyo akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma jana Machi 17, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanakjijiji wa Fukayosi wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma . 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo kwa Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mhe. Maggid Mwanga baada ya kuongea na wanakjijiji wa Fukayosi wilayani humo aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanakijijiji wa Fukayosi wilayani humo aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi  Dodoma jana Machi 17, 2017. (PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages