Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na wahandisi na maafisa wa Wakala wa Majengo ya Serikali
wakati alipowasili kukagua eneo linapojengwa Ikulu mpya kijijini
Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Machi 16, 2017
Sehemu ya matofali katika eneo linapojengwa Ikulu mpya kijijini Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Machi 16, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akitoa maelekezo wakati alipotembelea na kukagua eneo linapojengwa
Ikulu mpya kijijini Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Machi 16,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akitoa maelekezo wakati alipotembelea na kukagua eneo
linapojengwa Ikulu mpya kijijini Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma
leo Machi 16, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)
wakati walipotembelea na kukagua eneo linapojengwa Ikulu mpya kijijini
Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Machi 16, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisikiliza wakati Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea na
wafanyakazi wa TBA wakati wakikagua matofali walipotembelea na kukagua
eneo linapojengwa Ikulu mpya kijijini Chamwino nje kidogo ya mji wa
Dodoma leo Machi 16, 2017
Mkurugenzi Mkuu wa CDA, Paskasi Muragili,akitambulishwa kwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa walipotembelea na kukagua eneo
linapojengwa Ikulu mpya kijijini Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma
leo Machi 16, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akizungumza na mwananchi wakati alipotembelea na kukagua eneo
linapojengwa Ikulu mpya kijijini Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma
leo Machi 16, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakikagua matofali walipotembelea na
kukagua eneo linapojengwa Ikulu mpya kijijini Chamwino nje kidogo ya
mji wa Dodoma leo Machi 16, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua matofali hayo wakati alipotembelea na
kukagua eneo linapojengwa Ikulu mpya kijijini Chamwino nje kidogo ya
mji wa Dodoma leo Machi 16, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiangalia ufyatuaji wa matofali
walipotembelea na kukagua eneo linapojengwa Ikulu mpya kijijini
Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Machi 16, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakichanganya mchanga na saruji na
kusaidia kufyatua matofali walipotembelea na kukagua eneo linapojengwa
Ikulu mpya kijijini Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Machi 16,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakikagua mchanga unaotengezewa matofali
walipotembelea na kukagua eneo linapojengwa Ikulu mpya kijijini
Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakimwangalia Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu Mhe Jenista Muhagama (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu) akiagana na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga
kagua matofali walipotembelea na kukagua eneo linapojengwa Ikulu mpya
kijijini Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Machi 16, 2017.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269