.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU SIR GEORGE, AKUTANA NA BALOZI WA IRAN

Mar 17, 2017Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji mjane wa Marehemu, George Kahama,   Mama Jannet Kahama,  wakati alipokwenda  kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiifariji ,  familia ya Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda  kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Joseph Kahama, mtoto wa marehemu George Kahama wakati  alipokwenda nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam  kutoa pole kwa familia 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Iran Nchini, Mhe. Mousa Farhang kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª