Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika
viwanja vya Hostel mpya 20 za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika hafla ya
uzinduzi rasmi wa Hostel hizo leo Jijini Dar es Salaam. Hostel hizo
zilizogharimu takribani sh. Bilioni 10 zilizotolewa kufuatia ahadi ya Rais
Maguful,i ambapo ujenzi wake umefanya na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) chini
ya usimamizi wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambapo linatarajiwa kutumiwa na
wanachuo 3840.Kutoka Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa. Makame Mbarawa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandara
(katikati).

Waziri
wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndarichako akizungumza katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Hostel mpya
20 zilizojengwa kufuatia ahadi ya Rais Magufuli aliyoitoa mwezi Juni mwaka
2016. Ujenzi wake umetekelezwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) chini ya
usimamizi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na kugharimu takribani shilingi
bilioni 10, ambapo Hosteli hizo zinatarajiwa kutumiwa na wanachuo 3840.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa. Makame Mbarawa akiteta jambo na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandara wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hostel
hizo leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akiteta jambo na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa majengo mapya Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo
Jijini Dar es Salaam.
Kwaya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ikitumbuiza wakati wa hafla ya uzinduzi wa
majengo mapya ya Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo Jijini Dar
es Salaam.
Picha muonekano wa baadhi ya majengo mapya ya
Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Hostel hizo zilizogharimu takribani sh.
Bilioni 10 zilizotolewa kufuatia ahadi ya Rais Maguful,i ambapo ujenzi wake
umefanya na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) chini ya usimamizi wa Jeshi la
Wananchi Tanzania ambapo linatarajiwa kutumiwa na wanachuo 3840
Rais Magufuli akipewa maelezo kuhusu Majengo
mapya ya Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara baada ya kuzindua rasmi
hosteli hizo leo jijini Dar es Salaam.Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo
Tanzania (TBA) ,Msanifu Majengo Elius Mwakalinga.Kutoka kushoto ni Waziri wa
Elimu, Sanyansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndarichako,Mke wa Rais, Mama Janeth
Magufuli na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandara
Rais Magufuli akikata utepe wakati wa hafla ya
uzinduzi rasmi wa majengo mapya ya Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo
jijini Dar es Salaam. Hostel hizo zilizogharimu takribani sh. Bilioni 10
zilizotolewa kufuatia ahadi ya Rais Maguful,i ambapo ujenzi wake umefanya na
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) chini ya usimamizi wa Jeshi la Wananchi
Tanzania ambapo linatarajiwa kutumiwa na wanachuo 3840

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba walipokutana katika hafla ya
uzinduzi rasmi wa Hostel mpya za Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) leo Jijini
Dar es Salaam. Hostel hizo zilizogharimu takribani sh. Bilioni 10 zilizotolewa
kufuatia ahadi ya Rais Maguful,i ambapo ujenzi wake umefanya na Wakala wa
Majengo Tanzania (TBA) chini ya usimamizi wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambapo
linatarajiwa kutumiwa na wanachuo 3840. Kulia ni Waziri wa Elimu, Sanyansi na
Teknolojia Profesa Joyce Ndarichako na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa
Rwekaza Mukandara (kulia).

: Rais Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya waadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara baada ya kuzindua rasmi
majengo mapya ya Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo jijini Dar es
Salaam. Hostel hizo zilizogharimu takribani sh. Bilioni 10 zilizotolewa
kufuatia ahadi ya Rais Maguful,i ambapo ujenzi wake umefanya na Wakala wa
Majengo Tanzania
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269