Askari wa Jeshi la Polisi wakipima ajali iliyohusishwa na Gari lenye namba za Usajili namba T 757 BNS na T 876 DEJ iliyotokea jana jioni eneo la Ngoroka Kata ya Towangoma Mkoa wa Dar es Salaa jana jioni baada ya mwenyegari lenye namba za usajili T 757 BNS kutaka kuyapita magati yaliyokuwa mbele yake na kujikuta anashindwa kurudi upande wake wa kushoto wakati alipokuwa akitokea upande wa Kongowe akiwa katika mwendo wa kasi na mwenye gari lenye namaba za usajili T 876 DEJ akitokoa upande wa Kigamboni, Dereva wa Gari lenye namba za Usajili namba T 757 BNS inasemekana alikimbia na kulitelekeza gari hili na majeruhi mmoja kukimbizwa Hospitali. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) |
Mmoja
wa majeruhi akiwa hajitambui katika Gali lenye nama za usajili, T 863
CEH ambapo ametowa msaada wa kumuwahisha Hospitali majeruhi huyo
Dereva wa gari lenye namba za usajili T 876 DEJ akitowa maelezo kwa Askari wa Usalama barabarani
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269