Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipitia ratiba ya
hafla ya Kongomano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari
Duniani Mei 3, 2017 yaliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Habari
Kilimani Zanzibar.
Mc
wa Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Ndg Suleiman
Seif akitowa maelezo la kongamano hilo la kuadhimisha lililofanyika
katika ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani Zanzibar.
Mkuu
wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar Ndg Chande Omar akitowa maelezo
wakati wa maadhimishi ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani
ilioadhimishwa Zanzibar katika ukumbi wa Chuo cha Uandishi wa Habari
Kilimani Zanzibar.
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Kajubi Mukajanga akitowa maelezo
wakati wa Kongamano hilo la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani,
yaliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Kilimani
Zanzibar.
Wageni waalikwa na Viongogozi wa Vyombo vya habari Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo.
Makamu
Mwenyekiti wa Baraza la Habari Tanzania Hassan Abdallah Mitawi akitowa
maelezo ya hafla hiyo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja kutowa machache na kumkaribisha Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kuhutubia Kongamano hilo la kuadhimisha
Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari.
Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud akitowa
nasaha zake wakati wa kongamano hilo kabla ya kumkaribisha Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar kuhutubia hadhara hiyo ya waandishi wa habari
mbalimbali walioko Zanzibar.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihutubiwa wakati wa
Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Vyombo vya Habari Duniani huadhimishwa
kila mwaka mwezi wa mei 3, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Chuo
cha Habari Kilimani Zanzibar.
Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar Ndg Chane Omar akiwasilisha Mada ya
kuhusu Umakini wa Fikra kwa wakati muhimu Nafasi ya Vyombo vha Habari katika
Kuimarisha jamii zenye Amani, Haki na Ujumuishwaji, wakati wa kongamano hilo la
Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani lililofanyika katika ukumbi wa Chuo
cha Uandishi wa Habari Kilimani Zanzibar
MHADHIRI
wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Ndg Ali Uki akitowa Mada kuhusiana Uchambuzi wa
Sheria za Habari Zanzibar wakati wa Kongamano hilo.
MWANDISHI
wa Habari Muandamizi Ndg Enzi Talib akichangia mada zilizowakilishwa wakati wa
Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani
lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Kilimani Zanzibar
Makamu wa Pili wa rais wa zanzibar balozi seif ali iddi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa vyombo vya habari Zanzibar.
imetayarishwa na othmanmapara.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269