.

MZEE MWINYI ATIMIZA UMRI WA MIAKA 92

May 9, 2017

Rais mstaafu wa awamu ya pili, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi Mei, 08, 2017, ametimiza umri wa miaka 92, hivyo anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa. 

Blog hii ya theNkoromo Blog, inapenda kuchukua fursa hii kumpongeza na kumshukuru Mungu muumba mbingu na ardhi na vitu vyote vilivyomo duniani, kwa kumjaalia umri huo na timu nzima ya theNkoromo Blog inamuombea kwa Mungu azidi kupata maisha marefu ya raha mstarehe yenye afya njema mzee wetu huyu. HAPPY BIRTH DAY MZEE MWINYI.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช