Breaking News

Your Ad Spot

May 28, 2017

RAIS DK. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH WATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Mzee Francis Maige Kanyasu (Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya Matibabu. Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi  Mtendaji  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Lawrence Museru pamoja na Dkt. Juma Mfinanga, Daktari Bingwa wa magonjwa ya Dharura na Ajali katika hospitali hiyo. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mzee Francis Maige Kanyasu (Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya Matibabu 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali mtoto Shukuru Kisonga aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto Shukuru alikuwa akidaiwa kuishi kwa kula Sukari, Maziwa na kunywa  mafuta ya kula  kwa sasa hali yake imeimarika zaidi na kuanza kula vyakula vya kawaida. (wa pili kushoto) ni Mama yake Shukuru Mwanahabibi Mohamed Mtei. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimtakia heri mtoto Shukuru Kisonga aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili pamoja na Mama yake Mwanahabibi Mohamed Mtei. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mgonjwa aliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mgonjwa aliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi  Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mgonjwa aliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages