.

RAIS DK SHEIN AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI IGP SIRRO

Jun 21, 2017

 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, Ikulu mjini Zanzibar, jana.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, Ikulu mjini Zanzibar, jana.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª