Breaking News

Your Ad Spot

Jul 30, 2017

TANZANIA PRISONS YAIGOMEA YANGA U20 NA KUTWAA KOMBE LA MECHI ZA HISANI 2017 UWANJA WA NYUMBANI



Mshambuliaji wa Yanga U20, Samwel Geryson (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Tanzania Prisons, James Mwasote, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90. PICHA ZAIDI ZA MTANANGE HUO>/BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages