Breaking News

Your Ad Spot

Aug 3, 2017

KINANA AWASILI MKOANI TANGA, LEO KUSHIRIKI UWEKAJI JIIWE LA MSINGI UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA UGANDA

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Shekifu baada ya kuwasli kwenye mkutano wa hadhara wa Rais Dk. John Magufuli uliofanyika katika Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, leo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mwanasha Tumbo
 Mbunge wa  Viti Maalum mkoa wa Tanga, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Ummy Mwalimu akisalimia wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Shekifu akisalimia wakati wa mkutano huo
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akienda jukwaani kusalimia wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Rais Dk. Magufuli
 Katbu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza alipoalikuwa kuzungumza wakati wa mkutano huo.
 Katbu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza alipoalikuwa kuzungumza wakati wa mkutano huo.
 Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo
 Mke wa Rais Mama Janet Magufuli akisalimia kwenye mkutano huo
 Rais Dk John Magufuli na viongozi wengine wa meza kuu akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo
 mamia ya watu wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo
 Mbunge wa Muheza Adadi Rajab akizungumza wakati wa mkutano huo mbele ya Rais Dk Magufuli
 Rais Dk Magufuli akizungumza wakati wa mkutano huo

 Kinana akifuatana na viongozi wa CCm mkoa wa Tanga kumsikiliza Rais Magufuli alipozungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la Pongwe
 Kinana na baadhi ya viongozi wa CCM wakimsikiliza Rais Magufuli katika eneo la Pongwe
 Rais akizungumza na wananchi katika eneo la Pongwe PICHA ZAIDI/> BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages