| Naibu Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Bara, Burhan Ruta, akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, uliofanyika jana, Segerea. Mkutano huo ulikuwa mjaalum kwa ajili ya Uchaguzi wapya wa Jumuia hiyo katika Wilaya ya Ilala. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Dar es SalaamLugano Mwafongo. |
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269