Breaking News

Your Ad Spot

Oct 24, 2017

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI,MAJI,NISHATI NA MAZINGIRA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira   katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages