Breaking News

Your Ad Spot

Oct 29, 2017

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AWASILI DODOMA LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana  na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Binilith Mahenge baada ya kuwasili mkoani hapo ambapo kesho Makamu wa Rais atazindua Sera ya Taifa ya Huduma Ndogo za Fedha ya Mwaka 2017 pamoja na Mkakati wa Utekelezaji. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge mara baada ya kuwasili mkoani hapo ambapo kesho,Makamu wa Rais atazindua Sera ya Taifa ya Huduma Ndogo za Fedha ya Mwaka 2017 pamoja na Mkakati wa Utekelezaji. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages