Breaking News

Your Ad Spot

Oct 25, 2017

WAZIRI KIGWANGALA ATEMBELEA NGORONGORO


Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipokelewa na viongozi wa Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa viongozi wa hifadhi hiyo wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa mhifadhi wa Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akisikiliza maoni kutoka kwa viongozi wa hifadhi ya Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017

Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro,Freddy Manongi akizungumza wakati wa kumkaribisha Waziri wa Maliasili Dkt.Kigwangalla alipowasili hapo mapema leo kwa ajili ya kupata maelezo na ya kina namna ya uendeshaji na masuala mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages