Breaking News

Your Ad Spot

Nov 26, 2017

BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi vitabu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni (kulia)  na kukutana na baadhi ya viongozi na wahadhiri wa Chuo hicho. kushoto ni Mkuu wa Chuo Cha Sayansi ya Kijamii na Masomo ya Kibinadamu Profesa, Albino Tenge.
 
 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem katika picha y pamoja akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni (wa nne kushoto)
  Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi kitabu Mkuu wa Chuo Cha Sayansi ya Kijamii na Masomo ya Kibinadamu Profesa, Albino Tenge kushoto na kulia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni
 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akielekeza jambo mara baada ya kukabidhi vitabu kwa uongozi wa Chuo hicho
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili katika Chuo Kikuu cha UDOM

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages