Breaking News

Your Ad Spot

Nov 10, 2017

RAIS DK. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO UGANDA, AZUNGUMZA PIA NA WAANNDISHI WAHABARI MJINI MASAKA NCHINI HUMO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watanzania waishio nchini Uganda katika eneo la Masaka
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati wakizungumza na Waandishi wa habari mara baada kumaliza ya kufanya mazungumzo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha umahiri wa kupiga ngoma mbele ya mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika eneo la Kyotera nchini Uganda. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages