.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA HAPA NCHINI

Nov 13, 2017

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisalimiana na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke alipotembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (kulia) alipotembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (wa pili kushoto), Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) na Mkuu wa kitengo cha siasa wa Ubalozi wa China nchini Tanzania, Ndg. Liang Lin (kulia) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akipokea zawadi toka kwa Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Wang ke (kushoto) baada ya kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Spika Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (kulia), Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kushoto) baada ya kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª