Breaking News

Your Ad Spot

Dec 3, 2017

NAIBU KATIBU MKUU TUGHE TAIFA ENG. AMANI MSUYA AMPONGEZA MWENYEKITI TUGHE MKOA DAR ES SALAAM HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI


Naibu katibu mkuu Tughe Taifa Eng. Amani Msuya (aliye simama) akizungumza jambo katika hafla fupi ya kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyakazi (TUGHE), Mkoa wa Dar es Salaam,  Mziwanda Chimwege wa kwanza kulia aliyechaguliwa hivi karibuni baada ya kuwashinda wezake wanne katika kinyanganyiro hicho, Msuya alisema. anawaomba wanachama kujitoa kwa hali na mali katika kushirikiana na mwenyekiti wao, kuanzia kushoto ni Katibu wa Tughe Mkoa wa Dar es Salaam, Gaudensi Kadyango na Mkurugenzi wa Raslimali Watu na Utawala Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Makwaia Makani. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)


Mziwanda Chimwege alianza kwa kumshukuru Mungu pamoja na Mama mzazi na kuwashukuru Wanachama wa Chama hicho kumuamini na kumchagua yeye awe kiongozi wao.  na Pongezi maalumu kwa Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) chini ya Uongozi wa Profesa Lawrence Museru kwa ushirikiano anao upata katika kutekeleza moja ya majukumu yake katika kujadili na kutatua mambo mbalimbali,  Chimwege alisema, anaomba viongozi na wanachama wampe ushirikiano katika utekelezaji wa kukijenga Chama ikiwemo kutatua kero mbalimbali ambapo kwanza  amesema ataanza na vipaumbele kama, uwazi na mapato na matumizi ya chama hicho lakini nikidhani pia shida ya wanachama ni mafunzo kwa viongozi
katika     ngazi ya matawi na mahitaji ya semina na makongamano kwa wanachama wa Tughe Mkoa wa Dar es Salaam, Tughe kuwa na sacoss ya wanachama




















 Mziwanda Chimwege akimsalimia Mama yake mzazi Fatuma Mziwanda wakati wa hafla fupi yakupongezwa kwake ambayo iliyoandaliwa na wanachama wa Chama hicho
Chimwenge akisalimia Wanachama kabla ya hafla fupi ya kupongezwa kwake





 Mkurugenzi wa Raslimali Watu na Utawala Hospitali ya Taifa Muhimbili Makwaia Makani (wa pili kushoto) akizungumza jambo na kuanzia kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyakazi (TUGHE), Mkoa wa Dar es Salaam,  Mziwanda Chimwege,
Naibu katibu mkuu Tughe Taifa Eng. Amani Msuya na

Baadhi ya wanachama













Mjumbe wa Bodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, Josephine Lwambuka katika picha ya pamoja na marafiki zake mara baada ya kumpongeza



No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages