.

AMIRI JESHI MKUU RAIS DK. MAGUFULI AWATUNUKU KAMISHENI MAOFISA WAPYA192 WA JWTZ NA BAADHI WA NCHI MARAFIKI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.

Feb 3, 2018

 Amirijeshi Mkuu Rais Dk. John Magufuli akikagua gwaride la Maofisa wapya wa Jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania (JWTZ) na baadhi kutoka nchi marafiki kabla ya kuwatunuku Kamisheni katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
 Amirijeshi Mkuu Rais Dk. John Magufuli  akiwatunuku Kamisheni Maafisa wapya 192 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania pamoja na Maafisa kadhaa kutoka nchi marafiki katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
 Mafisa wapya wa Jeshi la ulinzi wakivalishana vyeo baada ya kutunukiwa Kamisheni na Amirijeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
 Mafisa wapya wa Jeshi la ulinzi wakivalishana vyeo baada ya kutunukiwa Kamisheni na Amirijeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
 Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi wakila kiapo cha Utii kwa Amirijeshi Mkuu Rais  Dk. Magufuli
 Amirijeshi Mkuu Rais Dk. Magufuli akiwa na makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mkuu wa  Majeshi Jenerali Venance Mabeyo, Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli (TMA) Meja Jenerali Paul Peter Masao katika picha ya pamoja na Maafisa hao wapya
 Amirijeshi Kuuu Rais Dk magufuli akicharaza ngoma wakati wa sherehe hizo za kutumuku nishani

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª