RaisDk John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kupanda ndege kwenda nchini Uganda kushiriki Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijini Kampala nchini humo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269