Breaking News

Your Ad Spot

Mar 10, 2018

KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT MKOA WA DAR ES SALAAM, YAANZA ZIARA YA VIKAO VYA KIKAZI KATIKA WILAYA ZOTE, LEO

 Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisisitiza jambo alipozungumza na Viongozi wa Jumuiya Wiyo wa Wilaya na Kata ya Ubungo katika kikao cha kazi kilichofanyika katika Wilaya hiyo leo. Wengine kushoto ni Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ubungo Pili Mustafa na kutoka kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT mkoa wa Dar es Salaam Eizabeth Lameck, Madiiwani wa Viti maalum Rehema Mayunga na Florence Masunga na Katibu wa UWT mkoa wa Dar es salaam Tatu Malyaga.
Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisisitiza jambo kwenye kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akimkaribisha Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave alipowasili
Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akiingia ukumbini
Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave (kushoto), Tatu Malyaga (kulia) na Elizabeth Lameck wakiwa Ofisini ya CCM Kimara kabla ya kiungia kwenye kikao hicho
Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akiwa tayari ukumbini kuendesha kikao hicho
Kina mama wa UWT Ubungo wakishangilia
Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisalimia wajumbe
Diwani wa Viti maalum Rehema Mayunga akisalimia
Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji UWT mkoa wa dar es Salaam Hawa Ng'humbi akisalimia
Katibu wa UWT Wilaya ya Ubungo Pili Mustafa akisalimia
Katibu wa UWT mkoa wa Dar es Salaam Tatu malyaga akizungumza wakati akimkaribisha kuzungumza Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave.
Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisisitiza jambo wakati akiwafunda katika mkutano wa kazi viongozi wa UWT Wilaya ya Ubungo na Kata zake katika kikao hicho. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages