.

MWENYEKITI WA CCM RAIS DK MAGUFULI AKUTANA NA MZEE MANGULA OFISI NDGO YA MAKAO MAKUU YA CCM LUMUMBA, DAR

May 12, 2018

Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula alipotinga katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, jana, Ijumaa, Mei 11, 2018
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana alipotinga katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, jana, Ijumaa, Mei 11, 2018
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akizumnguza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula alipotinga katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, jana, Ijumaa, Mei 11, 2018
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akisindikizwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakati akiondoka katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, jana, Ijumaa, Mei 11, 2018
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akisindikizwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakati akiondoka katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, jana, Ijumaa, Mei 11, 2018. Picha na Ikulu

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช