.

UZINDUZI WA TAWI LA CCM FUONI MICHENZANI, ZANZIBAR

May 14, 2018

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein  akifungua pazia kuashiria kulifungua Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Dimani Kichama,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi),[Picha na Ikulu.] 13/05/2018.
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la  Fuoni Michenzani wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao leo mara baada ya kulifungua  Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani, [Picha na Ikulu.] 13/05/2018. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la  Fuoni Michenzani  leo mara baada ya kulifungua rasmi  Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani leo (kushoto) Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina  Idarusi  na (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) , [Picha na Ikulu.] 13/05/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina Idarusi   alipofika kulifungua Tawi hilo leo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi),[Picha na Ikulu.] 13/05/2018. 

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª