MTANGAZAJI wa TBC1 Jerry Muro (Pichani) anashikiliwa na katika kituo Kikuu cha Polisi mjini Dar es Salaam, kwa madai ya kukamatwa katika mtego wa kuomba na kupokea rushwa kwa mwananchi mmoja jijini. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova anatarajiwa kutoa taarifa za undani wa tukio hilo, Blog hii inafuatili kupasha kadri taarifa zitakavyopatikana.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269