Breaking News

Your Ad Spot

Feb 22, 2010

JW MSTAAFU KORTINI DAR KWA KUDAIWA KUMUUA MKEWE

ASKARI mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Eliazani Matiku 'Ng'en'ge' (55), akipelekwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Ilala, Kariakoo jijini Dar es Salaam jleo akikabiliwa na kesi ya kumuua mkewe.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages