
ALIYEKUWA Mbunge wa Kishapu kwa tiketi ya CCM, Fred Mpendazoe akizungumza na waandishi wa habari leo katika
ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo), Dar es Salaam, akitangaza kuondoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama Cha Jamii (CCJ). Kulia ni Ofisa Habari Mwandamizi wa Udara ya Habari (Maelezo) Sise Mwirabi na kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCJ, Dickson Nghilily.

Mpendazoe akichekelea wakati akitoka kutangaza uamuzi wake huo, katika ukumbi wa Idara ya Habari leo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269