RAIS jakaya Kikwete akisaini sheria ya gharama za uchaguzi leo Ikulu mjini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni baadhi ya wawakilishi kutoka vyama mbalimbali vya siasa wakiwemo Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Gerge Mkuchika (kushoto), Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba na Wengine ni watendaji wakuu, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Saidi Mwema.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269