
BEKI wa timu ya Manyema FC Thimos Paul (kushoto) akipambana na mshambuliaji wa Majimaji CF, Selemani Kibuta, timu hizo zilipomenyana katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom tanzania bara kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam, jana. Manyema iliibuka na ushindi wa mabao 2-1.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269