
MAONYESHO ya Maadhimisho ya 22 ya Wiki ya Maji leo yameendelea kwenye viwanja vya Mwendapole, Kibaha mkoa wa Pwani ambako watu wametembelea mabanda hupata maelezo kuhusu teknolojia na utoaji huduma za maji. Pichani, Mkemia wa Maji wa kampuni ya Maji Safi na Majitaka mkoawa Dar es Salaam na baadhi ya maeneo aya mkoa wa Pwani (DAWASA), Ttrust Soi akiwapatia maelezo vijana waliotembelea banda jilo.
NGEDERE NAYE ATINGA KATIKA MAONYESHO HAYO
NJEMBA mmoja akiwa na tumbili wake katika viwanja vya maonyesho ya mnaadhimisho ya 22 ya wiki ya maji kwenye viwanja vya Mwendapole,Kigaha mkoa wa Pwani.

Halafu akatafuta juisi ya Sayona akaanza kumnyesha

Hapa akiendelea kumnyesha

Baadaye aliifunga na kumwacha avute pumzi kwanza.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269