WACHEZAJI wa soka kitoka kituo cha kukuza mchezo huo hapa nchini (Tanzania Soccer Academy), kutoka kushoto Salum Bakari, Awadhi Juma na Hassan Issa wakijifunza stadi ya kuumiliki mpira, timu hiyo ilipokuwa katika mazoezi kwenye uwanja wa Karume leo.Kipa wa Tanzania Soccer Academy akiruka vihunzi ikiwa ni moja ya mazoezi ya kumfanya awe fiti.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269