Mtangazaji wa Sauti ya Ujerumani, Deutsche Welle, Aboubakari Liongo akiwa na Mhariri wa gazeti la Mzalendo, Bakari Mnkondo, wakiwa kwenye kijiwe chao walipokutana leo, jijini Dar es Salaam, ambapo Liongo amerejea nchini juzi kwa ajili ya likizo ya Pasaka.
du jamaa inaelekea alimmiss sana huyo mzaramo maana alivyomshikilia
ReplyDeleteBila shaka! maana alivyomshika hata jamaa yake wa pembeni ni kama anamezea mate hivi
ReplyDelete