MTOTO wa Rais, Ridhiwan Kikwete akikata keki huku akishuhudiwa na waifu wake na mwanae usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake jijiniDarRidhiwani akimlisha kekidada yake Salama. Ridhiwani akifurahi na wadau walioalikwa katika besidei hiyo, Maulid Kitenge (kushoto) na Benny Kisaka.
Chachandu-Daily Bloginamtakia Ridhiwani, maisha marefu na yenye furaha.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269