HABARI KATIKA PICHA
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Kikwete akipungia mkono wananchi na wajumbe wa mkutano huo wa NEC, alipowasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kuendesha kikao hicho. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Yussuf Makamba.
Kingunge Ngobale -Mwiru na Ali Ameir Mohammed wakiwa kwenye kikao hicho
MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais Amani Abeid Karume na katibu Mkuu wa CCM, Yudduf Maskamba, wakiingia kwenye ukumbi wa Karimjee, mjini Dar es Salaam, jana, kuhudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM.
WENYEVITI wastaafu wa CCM ambao pia Marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa wakiingia ukumbini
Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mkapa , Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa Rais Dk. Ali Moahamed Sheni na Spika wa Bunge Sitta wakiingia ukumbini
MKURUGNEZI wa Uhuru FM, Mikidadi Mahmaoud (kulia) akiwa na Mhariri Mtendaji wa Uhuru Piblications Ltd (UPL), wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Josiah Mufungo wakiwa katika kikao jicho. Uhuru FM na UPL ni tasisi zinazomilikiwa na CCM.
KATIBU Mkuu wa CCM Yussuf Makamba akimkaribisha Aziz Abood (kushoto) kabla ya kuanza kikao hicho.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269