JINSI WADAU WALIVYOKUWA KATIKA SEMINA HIYO....
Wakifuatilia semina kwa makini
Waandishi wa habari za michezo Fracins Chirwa na Mahmoud Zubeiry wakijadiliana jambo.
Waandishi wa Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru ,Mzalendo na Burudani, Deus Undole na Fred Majaliwa wakifuatilia kwa makini
Evans Mhando wa TBC (wapili kulia) akiwa na wadau katika semina hiyo.
Ze Dadaz, Zen Chi na Somoye Ng'itu wakiwa pamoja katika semina hiyo. Hawa insemekana ni marafiki kwa sana wa moyo na mapafu.
Semina ilikuwa ya masafa marefu kiasi cha baadhi ya washiriki kama huyu Kaka Mambo kujinyoonyesha mara kwa mara kujiweka sawa.
Hivi ndivyo ilivyokuwa ikionekana ukumbini
Zungu we2kulia) pia alikuwepo. Anitwa Da nanihii...
Meneja wa Habari wa Executive Solitions Benjamin Thompson akitoa mada ya uandishi ambao TBL ingependa wakati wa michuano hiyo ili kumpa shavu mdhamini huyo yaani TBL mwenyewe kupitia lager yake ya Kilimamnajo.
Wawezeshaji wakuu wakiwa katika tafakuri mwishoni mwishoni mwa semina
Ze Da Irene wa Executive Solutions ambaye alihangaika sana katika kufanikisha mialiko kwa washiriki akiwa nje ya ukumbi kufanya mambo fulani mengine ya mawasiliano!
Mambo na Mwakalebela wakiungana na wengine katika safu ya kupata msosi baada ya semina
Mwaikenda (kulia ) naye kama kawa alikuwepo
BAADAE LILITINGA SOKA LA KI-YANGA NA SIMBA
WASHIRKI wa semina hiyo wanaojiju kuwa ni Yanga damu wakiwa katika picha ya pamoja ya kikosi chao kambla ya mpambano na wenzao wa Simba damu
Washiriki wa semina hiyo ambao ni Simba damu wakiwa katika picha ya pamoja ya kikosi chao
Moja ya 'move' wakati timu zilizoundwa papo hapo za wafusi wa Simba na Yanga za washiriki wa semina hiyo ya waandishi wa habari za michezo, walipochauna kwenye mchanga wa ufukwe wa hoteli hiyo. Jamaa wa Simba walifungwa 2-1. Je haya yanaweza kuwa sawa na matokeo ya mechi ya Yanga na Simba inatakayorindima uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili hii usiku?

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269