MEYA wa Manispaa ya Kinondoni Saidi Londa akifungua mkutano wa Umoja wa Wanawake Wajane wa Mbezi A, leo katika ukumbi wa Ian Pub, Kawe, Dar es Salaam. Kushoto niu Katibu wa Umoja huo, Zaidani Mwamba na katikati ni Mwenyekitiwa umoja huo Ellen Newa. BAADHI ya wanachama wa Umoja wa Wanawake Wajane wa Mbezi A, Kawe, Dar es salaam, wakiwa kwenye mkuitano wao uliofanyika jana, Ian Pub Kawe.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269