MCHEZAJI wa Pinda Boys ya Rukwa Aaron Bicco (kushoto) na Charles Ambwene wa Ruaha Stars ya Iringa, wakipambana kuwania mpira, timu zilipomenyana jana katika Uwanja wa Samora mjini Iringa katika mechi ya wakuiwania kufuzu robo fainali ya Kili Taifa Cup. Iringa iliifunga Rukwa mabao 6-0. (Picha na Bashir Nkoromo).Nkoromo).
Ali Manzi Manzi waKinondoni Kombaini (kushoto) akipambana na Julius Mwalukasa wa timu ya Mbeya, timu hizo ziliponeyana jana katika Uwanja wa Samora mjini Iringa katika mechi ya kuwania kufuzu kuingia robo fainali ya Kili Taifa Cup, kutoka kituo E cha Iringa. Timu hizo hazikufungana. (Picha na Bashir 
ORODHA ya wachezaji bora Kili Taifa Cup, kituo cha Iringa,
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269