*Yazisubiri Lindi au Ilala katika fainali
MSHAMBULIAJI wa timu ya Singida Kelvin Charlle (kulia) akimtoka beki wa Arusha, Saidi Mussa, timu hizo zilipomenyana jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, katika nusu fainali ya michuano ya Kili Taifa Cup. Singida imeibuka na ushindi wa mabao 3-1.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269