Waandishi wa habari kutoka Uhuru Publications na Nipashe ni miongoni mwa waandishi waliofika kushuhudia na kuchukua habari za meli hiyo kwa ajiri ya kuripoti kwenye vyombo vyao.
Waandishi wa bahari akiwemo Mzee wa Chachandu-Daily hii (kulia) akiwa kwenye tukio hilo
Manowari ya Kivita ya HR Ms John Dewit ya Uholanzi ikishusha mapipa ya mafuta ya dizeli, petroli na vilainishi ya jumla ya lita 10,000, ambayo meli hiyo iliwanyang'amya maharamia iliowakamata wakati ikija Tanzania
Mmoja wa maofisa wa Kijeshi katika manowari hiyo akiwapatia maelezo waandishi wa habari inavyofanya kazi na mfumo wake ulivyo sehemu ya uongozaji.
Suleiman Jongo wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani akiwa kwenye eneo la kutua helkopta za kivita katika meli hiyo.
m
Askari katika meli hiyo akimsaidia mwandishi wa Chaane Ten Dina Ismail kupita katika moja aya maeneo magumu ndani ya meli.
Askari katika meli hiyo akimsaidia Fatma Almas Nyangassa wa ITV kupia kwenye moja ya vihunzi katika meli hiyo.
Daktari akionyesha bonge ala hospitali yenye kila kitu na aina zote za tiba katika meli hiyo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269