WAT U wakiwa katika foleni ya kuandikishwa au kuhakiki majina yao au ya jamaa zao katika kituo cha Jangwani.
KARANI akiandikisha wananchi katika kituo cha Jangwani, Dar es Salaam, leo.

Al amin Mohammed (13), wa pili kushoto, akiwa kwenye foleni kwa niaba ya babu yake, katika kituo chga Jangwani, leo.

OMAR Mabalanga (61) aliyekuwa mkazi wa Morogoro, akiingia katika kituo cha kujiandikisha kuwa mpiga kura leo latika kituo cha Madenge, Buguruni mjini Dar es Salaam, ambako amehamia kuwa mkazi sasa.

MKAZI wa Buguruni Madenge, akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura leo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269