MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Waziri Kiongozi mstaafu, Dk.Mohammed Gharib Bilal baada ya kumtangaza kuwa mgombea mwenza wake wa urais, jana katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma. Hiyo ilikuwa ni baada ya yeye (JK) kuthibitishwa na kutano mkuu wa CCM kwa kura 1,893 kati ya 1,909 zilizopigwa.
Awali Dk. Bilal alikuwa akiwania nafasi ya kugombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, lakini yeye na Waziri Kiongozi Shamsi Vuai Nahodha wakashindwa na Makamu wa Rais, Dk. Ali Mohammed Sheni.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269